GENERAL
• Source: BBC Swahili
Iran yasema inafanya mazungumzo na Oman lakini si na Marekani, baada ya Trump kusema mazungumzo yataanza tena
Muhtasari wa Kiswahili (Swahili Summary)
Iran inasema inafanya mazungumzo na Oman kufikia "makubaliano" kuhusu njia ya muda kupitia Lango la Hormuz ili kuruhusu usafirishaji wa kibiashara kurejea.
English Summary Translation
Iran yasema inafanya mazungumzo na Oman lakini si na Marekani, baada ya Trump kusema mazungumzo yataanza tena